TEACHERS AND STUDENTS;- MPANGO MPYA WA ELIMU
Ungana na FARAJA KOTA
- Kutana na Maelfu ya wanafunzi wa sekondari katika kila mkoa wa TANZANIA.
- kwa kutembelea webiset yao www.shuledirect.com itakayo kuwezesha wewe kama mwanafunzi kujisomea notes mbali mbali, kujadiliana na wanafunzi mbali mbali na pia kuuliza maswali kwa waalimu walobobea katika masomo mbali mbali.
- wewe kama mwalimu pia unakaribishwa kujiunga na walimu wenzako ili uwezesha elimu ya TANZANIA kusonga mahala panapo hitajika.
- kujisajiri ni bre kabisa tembela website ya SHULE DIRECT ambayo ni www.shuledirect.com ili upate kujisajiri..
- pia waweza uka follow facebook page ya SHULE DIRECT yenye jina Shule direct.
No comments:
Post a Comment