Sunday, 8 May 2016

OUR LOGO

MOJA - 

Haikuhitaji wewe mpaka tar 8-5- kutambua umuhimu wa mama yako katika maisha yako, sisemi hiv kwa kupinga siku kama hii katika maisha yetu.
thamani ya mama ni kubwa katika kila maisha ya kila mmoja wetu , kwakua kila mmoja wetu ameishi ndani ya tumbo la mama kwa muda wa miezi isiopungu mi tano.
hilo pekee lingetosha kukuonesha umuhimu wa mama katika maisha haya tuliyo nayo.

PILI- 

LEO TUMEZINDUA RASMI FOUNDATION YA ‪#‎GFA‬ (GIVE A LITTLE) YENYE KAULI MBIU ISEMAYO (CHARITY MAKES US HUMAN)
FOUNDATION HII ITAKUA IKIJISHUULISHA NA WATOTO, KINA MAMA NA KILA MWENYe UHITAJI.
kila mmoja alie chini ya mmbingu saba za MOLA alie juu ni muhitaji katika njia moja au nyingine, lakini uhtaji wetu haufanani kaika kila idara..
Wewe kama kijana, wewe kama mama, wewe kama baba, una kila sababu ya kuhakikisha nafasi ulio nayo ina muwezesha yule mwenye uhitaji kwa lolote na chochote kile kinachoweza kumfariji na hata kumbadili pia.

UNGANA NASI..TUKOMBOE TAIFA HILI.

"WE LIVE IN THE WORLD THAT CHARITY IS ONE THING THAT MAKES HUMAN AN LIVING BEING"
BE A HUMAN WITH WELL BEING GIVE A LITTLE TO SAVE BIG.
foundation ina karibisha kila mtu wa kila jinsia, wa kila umri, mwenye uhitaji wa kujiunga nasi.
MAWASILIANO 0782411182.

No comments:

Post a Comment